UNICEF yazindua kampeni ya kutokomeza ndoa za utotoni Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto, UNICEF, imeeiorodhesha Tanzania kama ya 11 kati ya nchi zenye idadi kubwa zaidi ya ndoto ndoa za utotoni na kuzindua kampeni kabambe iitwayo "Binti."