Waasi wa M23 walaumiwa kuwanyanyasa waandishi wa habari
Your browser doesn’t support HTML5
Waandishi kadhaa wa habari wanaishi mafichoni kutokana na kuongezeka kwa mashambulizi ya kundi la waasi la M23 dhidi ya waandishi wa habari, vyombo vya habari na raia mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.