Kura nchini Kenya zaendelea kuhesabiwa wakati ripoti zikisema kwamba idadi ya wapiga kura waliojitokeza ilikuwa chache.

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti zinaendelea kusema kwamba vijana na wanawake walikuwa miongoni mwa wale ambao hawakujitokeza kwa wingi licha ya kujindikisha kwa wingi kupiga kura awali.