Wakenya waendelea kusubiri mshindi wa urais baada ya kupiga kura wakati ushindani ukiendelea kubaki mkali.
Your browser doesn’t support HTML5
Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinda na naibu rais William Ruto wanaonekana kuwa kwenye ushindani mkali , wakati baadhi ya washindi wa viti vingine vya ubunge na kaunti tayari wakianza kusherehekea