Matokeo ya uchaguzi Kenya bado yasubiriwa
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati matokeo ya urais wa Kenya yakiendelea kusubiriwa, waangalizi wa kimataifa wasema uchaguzi huo ulifanyika katika mazingira ya wazi na huru.
Kuelekea siku ya vijana duniani, vijana waaswa kujikita katika masomo ya sayansi hasa udaktari na uhandisi.