LIVETALK: Tunajadili maazimio ya mkutano wa jumuiya ya SADC

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa wiki hii wa viongozi wa nchi na serikali wanachama wa jumuiya ya maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC imepitisha maazimio kadhaa ambayo wageni wetu wa Livetalk, wakiwa ni pamoja na Wataalam na wachambuzi wa masuala ya kieneo wanayadadisi.