Watu waliokwama kwenye hoteli Mogadishu kufuatia shambulizi la ugaidi waokolewa baada ya makabiliano ya karibu saa 30.

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa usalama wa Somalia wamesema kwamba kwa bahati mbaya watu takriban 20 walikufa wakati wa tukio hilo , huku zaidi ya 100 wakiokolewa, miongoni wakiwa wanawake na watoto.