Vijana wanaolima mihogo Tanzania waitaka serikali kuwawekea mazingira bora ya kupatikana soko.
Your browser doesn’t support HTML5
Vijana wanao jihusisha na kilimo cha muhogo nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kuwawekea mazingira rafiki ya upatikanaji wa soko la uhakika pamoja na kiwanda cha kusindikia zao hilo ili kuweza kujiongezea kipato.