Tume ya uchaguzi Angola yasema chama tawala kinaongoza kufuatia uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Tume ya uchaguzi Angola mapema leo ilisema chama tawala kilikuwa kinaongoza kufuatia uchaguzi mkuu nchini humo.