LIVE TALK wachambuzi wanaangazia tozo zilizowekwa na serikali pamoja na changamoto zilizoibuka na kupelekea ugumu wa maisha katika jamii

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.