Jukwaa la Waandishi: Wanahabari wajadili masuala yaliyogonga vichwa vya habari
Your browser doesn’t support HTML5
Waandishi Khalifa Said, Christine Ojiambo na John Kibego wajadili kesi ya uchaguzi Kenya, mgogoro wa tozo Tanzania, na mkutano wa mawaziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda na Uganda.