Wakimbizi wa DRC waliokimbilia Uganda wafukuzwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi wa Congo waliokimbilia nchini Uganda kufuatia machafuko kaskazini mashariki mwa DRC, wamefukuzwa katika wilaya ya Uganda ya Kisoro, baada ya kambi zao za muda kuchomwa moto.