Tanzania yasitisha kutoa vibali vya manunuzi ya mahindi kwa wafanyabiashara wa Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Mjadala wa mahusiano ya Kenya na Tanzania unazuka tena baada ya Tanzania kusitisha utowaji wa vibali vya manunuzi ya mahindi kutoka Tanzania kwa wafanyabiashara wa Kenya.