Wanaharakati DRC wataka mkutano wa Umoja wa Mataifa kuidhinisha kuondoka kwa MONUSCO
Your browser doesn’t support HTML5
Wanaharakati wa kisiasa na mashirika ya kiraia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Congo wanataka umoja wa mataifa - katika kikao chake cha 77 mjini New York - kujadili na kuidhinisha kuondolewa kwa wa ujumbe wa Monusco nchini humo kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza majukumu yake.