Madaktari wa DRC waandamana kuomba nyongeza ya mishahara
Your browser doesn’t support HTML5
Mamia ya madaktari wa hospitali za umma nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, wameandamana mjini Kinshasa na miji mingine ya mashariki mwa nchi, kwa lengo la kuishinikiza serikali kuboresha mazingira yao ya kazi na kuongezewa mshahara.