Zuma asema yuko tayari kurudi kwenye siasa licha ya tuhuma za rushwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya rushwa na kutumikia kifungo cha muda mfupi gerezani, amesema yuko tayari kurejea katika siasa akibaki na chama tawala cha ANC.