Kwa Undani: Tshisekedi amfuta kazi mkuu wa Jeshi, Museveni ampandisha cheo mtoto wake wa kiume na kuwa Generali

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.