Wanajeshi saba wa Djibouti wameuawa katika shambulizi lililofanywa kwenye kambi ya jeshi na waasi nchini humo

Your browser doesn’t support HTML5

Taarifa ya wizara ya ulinzi nchini Djibouti ililaumu shambulizi hilo dhidi ya kambi ya Garabtisan iliyoko kaskazini mwa taifa dogo la Pembe ya Afrika kwenye Front for the Restoration of Unity and Democracy (ARMED FRUD) likielezewa kama "kundi la kigaidi"