Ulimwengu washerehekea siku ya kimataifa ya mtoto wa kike.

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya changamoto zilizoangaziwa ,ambazo mtoto wa kike anapitia ni pamoja na ndoa za mapema, ukeketaji, na ukosefu wa usawa wa kijamii miongoni wa nyingine.