Vijana wanatakiwa kufikiria njia mbadala za kujiajiri wenyewe badala ya kusubiri ajira kutoka serikalini au sekta binafsi
Your browser doesn’t support HTML5
Kamisaa wa Sensa Kitaifa huko Tanzania Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka serikalini au sekta binafsi