Guterres aonya mzozo wa Kaskazini mwa Ethiopia unazidi kuzorota
Your browser doesn’t support HTML5
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alionya Jumatatu kwamba hali ya kaskazini mwa Ethiopia "inazidi kudorora" na haoni suluhu ya kijeshi ikifanikiwa kwenye mzozo huo.