Soka Afrika Mashariki yajadiliwa huku michuano ya U17 ya wanawake ikiendelea India

Your browser doesn’t support HTML5

Leo katika VOA Mitaani mwandishi wetu Salma Mohamed amezungumza na wakazi Mombasa kupata hisia zao kuhusu kiwango cha soka Afrika Mashariki wakati michuano ya FIFA U17 kwa wanawake ikiendelea kule India.