Biden asema chaguo la Sunak kama Waziri Mkuu mpya wa Uingereza ni 'la msingi'
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu alitaja chaguo la Rishi Sunak, waziri wa zamani wa fedha, kama waziri mkuu wa kwanza wa Uingereza asiye mzungu, kuwa "la msingi" huku White House ikisema Biden angewasiliana na kiongozi huyo mpya na kumpongeza.