Mashirika ya kutetea haki za wanawake Afrika Kusini yaelezea ghadhabu yao
Your browser doesn’t support HTML5
Mashirika ya kutetea haki za wanawake Afrika Kusini, yalielezea ghadhabu yao Alhamisi na kuwakosoa Polisi kwa kudhaniwa kuwa wameshindwa, baada ya mashtaka kufutwa dhidi ya wanaume 14, wanaotuhumiwa kwa ubakaji.