Jukwaa la waandishi wa habari limeangazia mgogoro wa DRC, siasa za Kenya na siasa za Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.