Raia wa DRC wameandamana karibu na mpaka wa Rwanda wakidai kwamba Rwanda inafadhili waasi wa M23
Your browser doesn’t support HTML5
Kuibuka tena kwa kundi la M23 limeyumbisha uhusiano wa kikanda katika Afrika ya kati huku Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ikimshutumu jirani yake Rwanda kwa kuwaunga mkono wanamgambo hao waasi