Raila Odinga apinga baadhi ya kesi za wanasiasa wa Kenya kufutwa.
Your browser doesn’t support HTML5
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya, Raila Odinga amepinga hatua ya serekali ya rais Dr William Rutto ya kufuta baadhi ya kesi zilizowakabili wanasiasa wa mrengo wa rais.