Uchumi wa bahari Kenya wakumbwa na changamoto
Your browser doesn’t support HTML5
Kuna wasiwasi kuhusu kupatikana kwa mafanikio kamili katika mpango wa Serikali ya Kenya wa kuzalisha uchumi wa baharini maarufu, blue economy , iwapo baadhi ya sekta zinazohusishwa na mpango huo zitakosa kuimarika pamoja na kutoa fursa za kibiashara.