Jeshi la Eswatini lafyatulia risasi waandamanaji
Your browser doesn’t support HTML5
Takriban madereva 100 wa mabasi madogo na mabasi ya abiria waliingia barabarani katikati mwa jiji la Manzini kutaka watu wanne waliokamatwa mapema wiki hii waachiliwe huru .