Matokeo kufuatia uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani yanaendelea kutolewa
Your browser doesn’t support HTML5
Chama cha Republican kinaelekea kupata ushindi wa kudhibiti baraza la wawakilishi huku matokeo zaidi yakiendelea kumiminika kutoka wagombea wa vyama vyote vilivyohusika