Wanaharakati wa hali ya hewa nchini Misri wameandamana Jumanne wakitaka nchi za magharibi kuacha kufadhili miradi mipya ya gesi kwa Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Mataifa ya Magharibi yametaka kuongeza nguvu zao kufuatia uvamizi wa Russia nchini Ukraine na miradi mipya ya gesi katika bara la Afrika. "Nchi za kaskazini mwa dunia zimekuwa zikinunua gesi barani Afrika kwa kutumia mgogoro wa nishati wa sasa, vita vya Ukraine na umaskini wa nishati barani Afrika