Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekutana na Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak katika ziara yake ya kiserikali mjini London
Your browser doesn’t support HTML5
Sunak alimkaribisha Ramaphosa ambapo viongozi hao wawili walibadilishana salamu za heri kabla ya kujiunga na baraza la pamoja la biashara kati ya Uingereza na Afrika Kusini kujadili biashara na uwekezaji. Afrika Kusini ni mshirika mkubwa wa biashara wa Uingereza barani Afrika.