Kwa Undani: Mjadala wa uagizaji wa mahindi ya GMO unaendelea Kenya, wanasayansi na wanasiasa wanatofautiana

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.