UNFPA yakadiria kuwa kunaweza kuwa na visa zaidi ya milioni 2 vya ukeketaji kufikia 2030

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia yaadhimisha siku ya kupinga Ukeketaji Katika mwaka wa 2023 pekee, kuna wasichana milioni 4.32 duniani kote ambao wako katika hatari ya kukeketwa