Rais Joe Biden asifiwa kwa hotuba yake juu ya Hali ya Taifa, iliyozungumzia mafanikio na matarajio yake ya mwaka huu.
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Joe Biden ameanza ziara ya majimbo 20 kuzungumzia mipango yake ya maendeleo baada ya kutoa hotuba juu ya Hali ya Taifa Bungeni.