Kansas City Chiefs yatwaa taji la Super Bowl
Your browser doesn’t support HTML5
Nderemo na vifijo viliibuka huko Kansas City Missouri wakati timu yao ya Kansas City Chiefs iliposheherekea kutwaa kwa mara ya pili mfululizo taji la Super Bowl katika miaka minne jumapili.