Hisia mseto baada ya Ruto kupeleka wanajeshi kupambana na wezi wa mifugo
Your browser doesn’t support HTML5
Hatua ya Rais wa Kenya, William Ruto, Kupeleka wanajeshi katika maeneo yanayoshuhudia ongezeko la visa vya wizi wa mifugo na mauaji imeibua hisia mseto baina ya wadau