UN: Bahari inaendelea kujaa maji huku joto likiongezeka duniani na kiangazi kukumba sehemu nyingi za dunia.

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.