Live Talk: Wachambuzi na wasikilizaji wajadili hali ilivyo mwaka mmoja tangu vita vya Ukraine kuanza
Your browser doesn’t support HTML5
Tarehe kama ya leo mwaka wa 2022 Russia ilifanya shambulizi la kwanza dhidi ya Ukraine. Hali sasa ikoje na ni nini kitarajiwe kwenda mbele. Tunalijadili hilo kenye Livetalk.