Wanajeshi 100 wa Burundi wawasili katika Mji wa Goma
Your browser doesn’t support HTML5
Wanajeshi 100 kutoka jeshi la wananchi wa Burundi waliwasili Jumapili katika Mji wa Goma 30 wakitumia usafiri wa ndege za jeshi la Kenya-KDF na wengine 70 wakitumia barabara ya taifa la Rwanda wakiwa katika malori sita ya jeshi la Burundi