Takriban watu milioni 16 katikati na Kaskazini mwa California, wakumbwa na mafuriko na dhoruba

Your browser doesn’t support HTML5

Takriban watu milioni 16 katikati na Kaskazini mwa California, ikiwa ni pamoja na eneo la San Francisco Bay Area na Sacramento, wamekumbwa na mafuriko na dhoruba ya theluji