Watetezi wa haki wapinga mswada wa kutaka wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja Uganda kuchukuliwa hatua kali zaidi

Your browser doesn’t support HTML5

Mswada unaokusudia kuwataka wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kuchukuliwa hatua kali zaidi uliwasilishwa bungeni nchini Uganda siku ya Alhamisi na kuibua shutuma kali kutoka kwa makundi ya kutetea haki za kiraia.