Rais Samia wa Tanzania yupo Afrika kusini katika ziara inayojadili masuala ya usalama na njia ya kuimarisha fursa za vijana katika kilimo

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.