Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Kati wakutana Yaounde, Cameroon kujadili mikakati ya kufufua uchumi wa eneo hilo.

Your browser doesn’t support HTML5

waandishi wawili wa Togo wahukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela wakiwa hawapo mahakamani kwa kuitusi serikali.