Rais wa DRC aagiza kongamano la amani la Kivu kusini kulikoathiriwa na migogoro ya kikabila
Your browser doesn’t support HTML5
Nchini DRC kongamano kuhusu amani na maendeleo ya Jimbo la Kivu kusini likijumuisha wawakilishi wa makabila mbalimbali linaandaliwa.