Wafuasi wa haki za mashoga washutumu wabunge Uganda kupiga kura kufanya kuwa kosa la jinai kwa anayejitambulisha hadharani kuwa shoga
Your browser doesn’t support HTML5
Wafuasi wa haki za mashoga wanawashutumu wabunge wa Uganda kwa kupiga kura ili kufanya kuwa kosa la jinai kwa mtu yeyote anayejitambulisha hadharani kuwa ni shoga au wa mapenzi ya jinsia moja.