Serikali ya Kenya imeyaweka kwenye orodha maalum "Blacklist" mashirika yanayoandikisha watu kwa ajira nje ya nchi

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Kenya imeorodhesha mashirika 26 ya kupeleka wafanyakazi nje ya nchi kwa nia ya kuwalinda wafanyakazi hao dhidi ya unyonyaji na ukiukwaji wa wazi wa haki zao.