Mzozo mwingine wazuka kuhusu wajumbe wa mazungumzo ya kutafuta maridhiano ya kisiasa Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Mzozo mwingine umezuka baada ya orodha ya wajumbe kutoka muungano wa kisisa wa Kenya Kwanza wa mazungumzo ya kutafuta maridhiano ya kisiasa Kenya kuwekwa wazi.