Wanariadha mahiri wa Afrika mashariki wanashiriki mbio za Boston Marathon 2023 nchini Marekani. Pia ni miaka 10 tangu shambulizi la 2013.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.