Rais Joe Biden ametia saini amri ya kiutendaji kupanua fursa ya huduma za kulea watoto na wazee Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.